Nimeolewa mbumbumbu form four ila yeye alikuwa msomi, kanisomesha mpaka sasa nina elimu ya juu na ninajivunia, mapenzi sio elimu ndugu zangu ukimpenda mtu kama alivyo vingine kuvipata ni kitu rahisi sana.
Nadhania hapa ndio umuhimu wa kutokuwa na gap kubwa umeonekana waziwazi, kwa sababu isingekua muhimu angekuacha bila kukusomesha mkachapa mwendo, sio wote wenye nafasi hizo za kuweza kuwasomesha wenza wao.Nimeolewa mbumbumbu form four ila yeye alikuwa msomi, kanisomesha mpaka sasa nina elimu ya juu na ninajivunia, mapenzi sio elimu ndugu zangu ukimpenda mtu kama alivyo vingine kuvipata ni kitu rahisi sana.
Inaelekea unaishi dunia ya ndoto au definition yako ya mapenzi ni finyu mno! Kama unadhani utaweza kukaa na mtu kwa miaka 40 alafu kila siku asubuhi ukimwona moyo unaenda spidi kama ile mara ya kwanza utakuwa hujui maana ya mapenzi! You have to find something deeper beyond emotional feelings. You have to share more than emotions. Elimu ni moja ya viwango unaweza kuweka. Pia unaweza kuweka class ya mtu, nk...
Nawe bwana naona umuzidisha
Kidogo hapo mwisho..
Class ya mtu ndo ikoje
Na ziko ngapi?..
je hii ndo yale maduu ya huko mashiriki
Ya mbali?