St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
- Thread starter
-
- #21
mmmmh paka M unataka mke kweli wewe?? ushaona kasoro still unataka,
Tukushauri uingie na kasoro kwenye ndoa,
Shauri yako, hutakiwi kuona kasoro kwa mtu unaetaka kumuoa, na ukiiona haikupi shida ila unatafuta
njia ya kupambana nayo. "Upendo huficha mabaya yote."
Ama, hicho ndo cha msingi, lakini Paka Mweusi kakosea kama mm na ww tunavyokosea,
lakini bado anayo nafasi ya kuchagua kuingia na kasoro kwenye ndoa, au kurudi kwa Mungu ampe Mke.
Mn......!hata kwa huyo mlupo?
Kama ni kasoro, tayari wote 3 anaowachakachua kisaikolojia wanazo kwa vile wote wana culture tofauti na Paka; hivyo kutoelewana katika mambo madogo na makubwa ni inevitable.
Hakuna mwandamu aliyekamilika, kuchamba kwingi mwisho kushika mavi.
msaada tutani wakuu,wakati kiwinta kimekolea huko nje na hata kutoka siwezi nimekaa hapa sitting room kwangu nafikiria kisa kilichonikumba.kisa hicho hakina tofauti na kile kilichoimbwa na marehemu mbaraka mwishehe.
nimepata wachumba watatu,nataka kuoa mmojawapo,na wote ni wazungu.kila mmoja ni mzuri sana ila tabia zao ndio shida,wa kwanza ni mvivu hata kutoa sahani yake aliyolia chakula kupeleka jikoni inamshinda,wa pili ni mbea kila siku kuzusha maneno,na wa tatu ni mlupo wa ajabu kiasi kwamba kaniambia yeye ni sex addict na akikosa hata siku moja tu anaweza kupata hysteria.sasa jamani nisaidieni mimi,nimuoe yupi?
muoe huyo wa tatu ambaye ni sex addict...naamini hutamuangusha, kama ukishindwa tutakusaidia kumpa raha...
Asante mama kwa comment yako,ila ukweli ni kuwa sija do na hata mmoja,ni zile date to za kimagharibi na kukaribisha mtu nyumbani kupata coffee.Nazingatia nadhiri yangu ya kuto do mpaka baada ya ndoa.
mchague mvivu...asi utakua houseboy tu bwana shda iko wap!
Hivi mpwa wewe si ulishamvoisha dadaangu pete huku ho$e? haya hao wanakujaje tena? unataka nikueleweje sasa? nikaseme nyumbani? yaani ufadhili ni wa wakwe zako na sasa umeanza tabia za namna hiyo! kama vipi nimruhusu atafute kidume kingine!!
Huyo sex addict kwa hiyo kuna mahali anapata daily bread wakati anasubiri umalize kura za maoni eeh? Mbombo ngafu
Hivi mpwa wewe si ulishamvoisha dadaangu pete huku ho$e? haya hao wanakujaje tena? unataka nikueleweje sasa? nikaseme nyumbani? yaani ufadhili ni wa wakwe zako na sasa umeanza tabia za namna hiyo! kama vipi nimruhusu atafute kidume kingine!!
Msaada tutani wakuu,wakati kiwinta kimekolea huko nje na hata kutoka siwezi nimekaa hapa sitting room kwangu nafikiria kisa kilichonikumba.Kisa hicho hakina tofauti na kile kilichoimbwa na marehemu Mbaraka Mwishehe.
Nimepata wachumba watatu,nataka kuoa mmojawapo,na wote ni wazungu.Kila mmoja ni mzuri sana ila tabia zao ndio shida,wa kwanza ni mvivu hata kutoa sahani yake aliyolia chakula kupeleka jikoni inamshinda,wa pili ni mbea kila siku kuzusha maneno,na wa tatu ni mlupo wa ajabu kiasi kwamba kaniambia yeye ni sex addict na akikosa hata siku moja tu anaweza kupata hysteria.Sasa jamani nisaidieni mimi,nimuoe yupi?
Mpwa si unajua kuwa sisi tunaruhusiwa kuoa mpaka wanne,huyo wa nyumbani naye bado yuko kwenye listi tena yeye ndio first priority yangu.
hivi bado tu mnaoaga wazungu,hii midude haifai kuoa ni ya kutafutia paper zikitulia unalala mbele,shauri yako kaka
Alaaaa we Paka, basi oa mmoja kwanza, then wafatie wengine, au unaoa wote kwa mpigo mwenzetu,
Daaaaaa sema hii culture mie si ifahamu vizuri.
Na, kumbe we waweza oa akikushinda unatoa Talaka tu eeh!!
Mi nimezoea ile ya alichokiunganisha Mungu mwanadamu asitanganishe.
utaumwa ukipona utakuta nep znakusubiri wor nt ma dear!Ushauri mzuri mama,ila siku tukipata mtoto na mimi nimeugua si tutalala na nnya ya mtoto?
Mpwa si unajua kuwa sisi tunaruhusiwa kuoa mpaka wanne,huyo wa nyumbani naye bado yuko kwenye listi tena yeye ndio first priority yangu.