St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
- Thread starter
-
- #41
haaahaaaa nimekubali... oa wote si imani yetu mwisho ni wanne? au umeshamsahau babu DANGER wa Kenya? alikua nao 80 na kidogo
utaumwa ukipona utakuta nep znakusubiri wor nt ma dear!
Sawasawa Mpwa naona after ten years nitakuwa mdogo wake Akuku Danger....
Hapo sawa ila ushauri wangu ni kua uweke na kachumbari kidogo.. yaani mwarabu, mhindi, mweusi, mzungu, mrusi, yessssss hapo utakua umemzidi babu Danger
Tuko pamoja hapo mama huyu ameniandikia kiutani na mimi nimemjibu kiutani vilevile,ngoma droo.
Hao watu nina aleji nao kiasi kwamba hata siku nikiwaona wanapigana na nyoka basi mimi nitamsaidia nyoka awaume vizuri.
Siongezi neno!!
Ahaaaa ok, gud, angalia usije ukaingia mkenge bwana.
Bora kukaa peke ako kuliko kuvumilia mwiba unaokuchoma 24/7.
Msaada tutani wakuu,wakati kiwinta kimekolea huko nje na hata kutoka siwezi nimekaa hapa sitting room kwangu nafikiria kisa kilichonikumba.Kisa hicho hakina tofauti na kile kilichoimbwa na marehemu Mbaraka Mwishehe.
Nimepata wachumba watatu,nataka kuoa mmojawapo,na wote ni wazungu.Kila mmoja ni mzuri sana ila tabia zao ndio shida,wa kwanza ni mvivu hata kutoa sahani yake aliyolia chakula kupeleka jikoni inamshinda,wa pili ni mbea kila siku kuzusha maneno,na wa tatu ni mlupo wa ajabu kiasi kwamba kaniambia yeye ni sex addict na akikosa hata siku moja tu anaweza kupata hysteria.Sasa jamani nisaidieni mimi,nimuoe yupi?
hapana, nasubiri mume mwema
huyo wa tatu, tehe!
wachana nao wote njoo bongo tumekuandalia kimwana wa nguvu
Nilimuagiza ujumbe Bacha akuletee leo hii umeupata?
Hahahahahhahaa nisaidie basi kuchagua mama......
Nimerudi na jibu hili hakuna mke hapo. Mke mwema hutoka kwa Mungu Baba. Full Stop.....
niletee weew bwana bacha simtak tena
mwongo yule
utanileteta?