Tigga Mumba
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 746
- 473
Hii kitu inanikera sana na akina dada mlioko kwenye mahusiano mnatakiwa mtambue hili.
Kuna haja gani ya kuwa na utitiri wa ma GUY FRIENDS? Ukisisitiza kuwa eti marafiki zako wengi wa kike hawako BBM na Facebook!!
Fahamu tu hao ma GUY FRIENDS wote wanatamani kukuvua nguo siku moja na kufanya mapenzi na wewe.
Kama umeamua kuwa na mtu, jicommit, epuka ma GUY friends wasiokuwa na umuhimu.
Vivyo hivyo wa wakina kaka!
Mbona wakaka kwa ladies friends mmeshindikana?
Kila relationship ina utamaduni wake. Kuna mdada alikuwa anamsifia mumewe kuwa hanaga marafiki wa kike kabisaa, mie nikabadili topic manake mumewe nakutanaga nae saa nane za usiku (nikitoka lindoni) na work mates wake! Natamani kuuliza hujamchoka work mate jamani? Umeshinda nae toka saa mbili asubuhi mnaangaliana ofisini, hadi saa nane usiku! Kha!
thanx alot dats tru km ni kk utasikia me nnamarafik weng wa kike,wadada nao watakwambia mm nna marafik weng wa kiume point to rmember no frendship kat ya jinsia ya kike na kiume hapo ni kupigana fix 2!Hii kitu inanikera sana na akina dada mlioko kwenye mahusiano mnatakiwa mtambue hili.
Kuna haja gani ya kuwa na utitiri wa ma GUY FRIENDS? Ukisisitiza kuwa eti marafiki zako wengi wa kike hawako BBM na Facebook!!
Fahamu tu hao ma GUY FRIENDS wote wanatamani kukuvua nguo siku moja na kufanya mapenzi na wewe.
Kama umeamua kuwa na mtu, jicommit, epuka ma GUY friends wasiokuwa na umuhimu.
Vivyo hivyo wa wakina kaka!
thats y 2narkebishanaHata nyie kina kaka mna hayo mambo pia...
sio lazima msichqna wako avuliwe nguo na what so called 'guy friends'.......
Mtu havuliwi nguo kwa kuwa tu ana guy friends... Anaweza kuvuliwa nguo akitaka, tena hata sio na 'guy friends' bali na muuza duka tu mtaani kwenu kama sio vijana wa vijiweni.......
Kifupi tabia ya mtu wako ndo inadetermine kuvuliwa au kuvua......
Pia je wewe na ma 'girl friends' zako unawavua nguo?