jembelamkono
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 2,733
- 2,012
Mkuu kuna haja ya kuliangalia hili kwa kina mkuu.Importers (Watanzania) or non) wakuagiza au kuingiza manufactured goods abroad mfano china, Japan, nk wamepungua, sababu
purchasing power imepungua, mzunguko Mdogo wapesa kwa sasa na jpm!
Vilevile importers Wa manufactured goods/inputs wanakimbizwa na kabali za kodi za jpm pale bandarini;
Jpm kucentralize economy itatupa shida sana, umasikini mkubwa kwa watu wengi unanukia, sababu sio Leo wala kesho atajenga viwanda vianze kuzalisha manufactured goods/inputs for exports!Mkuu kuna haja ya kuliangalia hili kwa kina mkuu.