Mwanajamvi Asante sana kwa kutuomba msaada wa ushauri kutoka kwetu wataalam wa uchumi.Wakuu.
Naomba wataalamu Wa uchumi mtusaidie ni sababu ipi iliyopelekea biashara nchini kudoroara na hili lipo wazi kwani hata IMF wamesema uchumi wetu sasa umeshuka kasi ya ukuaji.
Najaribu kuwaza miaka ya Rais Mstaafu Jakaya Kikwete biashara ilishamiri sana na kasi ya ukuaje wa uchumi ikapaa sana.
Nini kimetokea na sababu ni nini?
...................Bro kwani we Muhaya?hiyo paragraph ya pili sidhani kama ilikuwa inahitajika kwenye bandiko lako uliloweka hapa!Mwanajamvi Asante sana kwa kutuomba msaada wa ushauri kutoka kwetu wataalam wa uchumi.
Nina PhD ya uchumi. High school siksi nilipiga Ilboru. Degree ya kwanza mlimani. Vyuo vingine nimesomea ni Luton, Cambridge na Oxford kwa Malikia. Pia Stanford Yale, Havadi na MIT kwa trump huko.
Na kuhakikishia umefika sehemu sahihi utapata msaada mzuri wa uchumi. Kuna kitabu nakiandika title yake The reason why Jiwe fucked up Tanzania Economy Deliberately and arrogantly karibuni kitaangia sokoni3
Miaka ya karibuni tumekuwa tukiwapa mbwa chakula cha watoto. Hili ni kosa kubwa mno labda kama unathamini mbwa wako kuliko watoto wako. Nchi maskini kama Tz tumeacha vipaumbele vya kujenga uchumi na kwenda kuiga mataifa makubwa namna wanavyofanya kutokana na kuwa na uchumi mkubwa.Wakuu.
Naomba wataalamu Wa uchumi mtusaidie ni sababu ipi iliyopelekea biashara nchini kudoroara na hili lipo wazi kwani hata IMF wamesema uchumi wetu sasa umeshuka kasi ya ukuaji.
Najaribu kuwaza miaka ya Rais Mstaafu Jakaya Kikwete biashara ilishamiri sana na kasi ya ukuaje wa uchumi ikapaa sana.
Nini kimetokea na sababu ni nini?
Umeliongelea kwa umakini na ufasaha wa hali ya juu....Miaka ya karibuni tumekuwa tukiwapa mbwa chakula cha watoto. Hili ni kosa kubwa mno labda kama unathamini mbwa wako kuliko watoto wako. Nchi maskini kama Tz tumeacha vipaumbele vya kujenga uchumi na kwenda kuiga mataifa makubwa namna wanavyofanya kutokana na kuwa na uchumi mkubwa.
Kukopa sio kosa au umaskini kwani hata USA wanakopa matrilioni benki ya dunia, China n.k. Tumekwenda kununua ndege za mabilioni kwa cash money, ambapo hata mashirika makubwa kama KLM na Lufthansa hukopa na kulipa polepole.
Tumeweka matrilioni mengi kwenye miundombinu kama vile bomba la mafuta na reli bila ya kushirikisha private sector, hata Marekani na pesa zao, miradi mikubwa kama hii inakuwa ni public-private-partinership yaani PPP.
Tumejifanya matajiri wa cash wakati hatuna kitu. Mkuu amejifungia ndani hajawahi fika mbali zaidi ya Ethiopia. Hata akina Trump, Angela Merkle, Ji Ching, Putin na wengine hutembelea mataifa mengine kuzungumzia uchumi na uwekezaji. Mkuu wetu anafikiri ataweza mwenyewe. Kikwete alitafuta wawekezaji wengi sana na alijua huwezi kulisha mbwa chakula cha watoto.
ila we mtu kama sio MHAYA utakua kabila gani sijui...mi najua baada ya maneno yote unakuja na JIBU ila wahaya nyie sijui mlipewagwa nini.Mwanajamvi Asante sana kwa kutuomba msaada wa ushauri kutoka kwetu wataalam wa uchumi.
Nina PhD ya uchumi. High school siksi nilipiga Ilboru. Degree ya kwanza mlimani. Vyuo vingine nimesomea ni Luton, Cambridge na Oxford kwa Malikia. Pia Stanford Yale, Havadi na MIT kwa trump huko.
Na kuhakikishia umefika sehemu sahihi utapata msaada mzuri wa uchumi. Kuna kitabu nakiandika title yake The reason why Jiwe fucked up Tanzania Economy Deliberately and arrogantly karibuni kitaangia sokoni3
Tatizo tulikua na artificial economy inayoendeshwa na purchasing power artificial, mtu anauza unga anahonga magari au anapangishia vimada wengi nyumba hivyo kuonekana soko la kupangisha nyumba au showroom za magari lipo juu, nk na kadhalika. Hii imekuwepo kwa miaka 30 hivyo kuamini ni mfumo sahihi. Ndio maana ilifika mahali barabara mbovu mpaka katikati ya mji kama posta na Kariakoo. Na watanzania wengi tunasahau unapojenga hata nyumba ya familia yako watoto lazima wakose baadhi ya walioyazoea kwa faida ya baadae.Wakuu.
Naomba wataalamu Wa uchumi mtusaidie ni sababu ipi iliyopelekea biashara nchini kudoroara na hili lipo wazi kwani hata IMF wamesema uchumi wetu sasa umeshuka kasi ya ukuaji.
Najaribu kuwaza miaka ya Rais Mstaafu Jakaya Kikwete biashara ilishamiri sana na kasi ya ukuaje wa uchumi ikapaa sana.
Nini kimetokea na sababu ni nini?
Kwa mfano unawekeza ktk kilimo na kidogo katika miundombinu si mazao yatakuja sokoni kwa bei juu hivyo kuleta inflation?Kuna vitu viwili tu ndo huzalisha hali yote hii kwenye uchumi. Fiscal policy and monetary policy.
Ambapo vitu kama taxes, investment, govment spending, demand and supply of money, import over export, exchange rates, interest rate etc vyote hivi ni moja ya sabab hali kuwa hivi ilivyo sasa.
Taxes-tumeona jinsi kodi inavyokusanywa kwa sasa na burden kubwa iliyopo ni lazima idisturb biashara.
Investment-uwekezaji mwingi unaofanywa hiv sas ni kweny sekta ya ujenzi na sio kwenye miradi itakayoleta mzunguko mkubwa wa kifedha kama vile kilimo
Govmnt spending-katika nchi yoyot ile mtumiaji mkubwa ni serikali hivyo inabidi matumizi yake yaelekee kweny sekta zinazogusa wananchi moja kwa moja hiyo haitaathiri mzzunguko kweny sekta ya biashara.
Demand and supply of money- tunaona serikaali imetengeneza uhitaji mkuubwa saan wa pesa, so consumers rely only in preference hivyo kusababish bidhaa nyingine zisiwe na faida sokoni.
Nimejitahid kueleza kwa uchache tu but serikali inabid ifanye restructuring kweny some areas ili kuweka saw mzunguko..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nature ya nchi yetu tunahitaj zaid kilimo cha kisasa, miundombin ipo ila sio toshelevu but kilimo kina hali tata saana. Na kuhusu inflation price index kwa sasa ni supportive saana hasa kwa bidhaa za kilimo. The govt should play hard kweny ruzuk tuKwa mfano unawekeza ktk kilimo na kidogo katika miundombinu si mazao yatakuja sokoni kwa bei juu hivyo kuleta inflation?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kilimo kinachotakiwa sio small scale nimeona kwa macho nchi za wenzetu na uwajibikaji sekta ya umma ni problem hasa watunga sera, kuna investor muasia kutoka Uganda nilibahatika kukutana nae ana miaka 4 anazungushwa kupata ardhi alime miwa na kuweka kiwanda cha sukari, worse still kule Uganda ndio mzalishaji mkubwa wa Sukari. Kumsaidia nikafoward proposal yake kwa TIC Director ananijibu mwambie anitafute mwisho wa mwezi badala ya yeye kumpigia imediately na kumfuata alipo, kumbuka hata Mtwara mh. Rais alikutana kituko hicho hicho kiwanda cha korosho, investor analaImishwa kununua transformer ili auziwe umeme, maji the same mpaka Rais aingilieKwa nature ya nchi yetu tunahitaj zaid kilimo cha kisasa, miundombin ipo ila sio toshelevu but kilimo kina hali tata saana. Na kuhusu inflation price index kwa sasa ni supportive saana hasa kwa bidhaa za kilimo. The govt should play hard kweny ruzuk tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo tulikua na artificial economy inayoendeshwa na purchasing power artificial, mtu anauza unga anahonga magari au anapangishia vimada wengi nyumba hivyo kuonekana soko la kupangisha nyumba au showroom za magari lipo juu, nk na kadhalika. Hii imekuwepo kwa miaka 30 hivyo kuamini ni mfumo sahihi. Ndio maana ilifika mahali barabara mbovu mpaka katikati ya mji kama posta na Kariakoo. Na watanzania wengi tunasahau unapojenga hata nyumba ya familia yako watoto lazima wakose baadhi ya walioyazoea kwa faida ya baadae.
Sent using Jamii Forums mobile app