Wachumi naombeni Elimu juu ya uhusiano ufungaji wa maduka ya kubadili fedha na uhaba wa fedha za kigeni nchini

Umesafiri lakini hujui chochote jinsi dunia inaenda.
 
Bwana Kobello,
Hizo hela ukitumia ATM kuwithdraw au kufanya online payment huwezi zikosa.

Je bank zetu zinafanya direct exchange? CRDB anapokea YUAN au anaizungusha kwenye dola?

Nadhani huo ndio msingi wa maelezo yangu ya awali.
Angalia exchange rate unayopata angalia na makato halafu fananisha ukiwa na acc ya Tshs na ukiwa na dola.

Pia unafikiri ukienda China ukiwithdraw hela wanapokea Tshs na kukupa Yuan?

Wana convert na kupokea USD na wanakupa YUAN.

IPO HIVYO.
 
Not that easy.
BOT Wana akiba ya Yuan, pia Wana akiba ya Indian Rupees na Dirhams. Hiyo ni mfano ya trading partners wakubwa wa Tanzania. I'm talking about physical reserves.
Pia Wana akiba ya USD na Euro siyo kwa sababu ni trading partners wetu wakubwa, bali labda pia through loans na misaada ya kimaendeleo Bado tutakuwa na reserves za pesa zao.
Sasa Hawa large trading partners tunaweza kuwa na agreement nao kuhusu kubadilishana pesa na wakakubali hadi wakawa na EXIM banks zao nchini hata kukawa na benki za India na za kiarabu nchini. Hayo Mambo yanarahisisha fees na taxation.
Pia trading blocks kama SADC na EAC, hata nothing but arms between Tanzania na EU zinasaidia kwa kiasi Fulani kupunguza fees na taxation ya conversion.
Hapo usifananishe conversion business na forex ni vitu tofauti.
USA hapana biashara na Tanzania. Hatuna cha kuwauzia na hatuingizi dollars labda za msaada na utalii, so they don't give a shit about any preferential conversion fees and taxation regime between us. They don't really need anything from us. Kwa hiyo ukitaka dollars lazima ufuate mkondo.
Lakini ukitaka KES au ZAR unaweza zipata airport easily lakini ukitua JFK na TSH eti unataka USD Kwanza wanacheka, but you can do it through ATMs na Banks kubwa through bid-ask pricing. Kwa kuwa bid-ask pricing spread itakuwa wide, basi na institutions zitatoza fee kubwa.
Basically that's how the conversion machinery works.
Siyo kama wewe unavyosema kirahisi hivyo. Siyo kila kitu ni dollars. No!
 
Najifunza. Ila swali langu halijajibiwa. Je, kutokuwepo kwa BDC mtaani kunachangia vipi uhaba wa dola?
 
Tafuta wakala wa binance huku ndio pesa zipo za sarafu za kidigitali uza na kununua
 
Tatizo la uhaba wa dollars linakuzwa sana utadhani lina athari. Kwanza tuanzie hapa; Kwanini watu wanataka kununua dollars?
Shida ya JamiiForums tunajiunga bure wangesema interview tulete na vyeti .....asee watu kama huyu ni out....jamii forum mi najua kwa wasomi kumbe hata kina kajambanani wapo
 
Shida ya JamiiForums tunajiunga bure wangesema interview tulete na vyeti .....asee watu kama huyu ni out....jamii forum mi najua kwa wasomi kumbe hata kina kajambanani wapo
Kama hujaelewa mantiki ya swali langu kuwa mpole. Mimi ni MBA graduate na nime travel extensively duniani kasoro America na southern hemisphere.

Twende kwa hoja. Niambie unataka dola za nini na nitakuambia utapataje hicho unachokutaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…