BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Ipo mkoa gani hiyo form two?hivi hata form two hujafika mkuu?maana sio lazima kuwa mchumi ili kulijua hili?
Nimekuelewa ila wewe hujanielewa mimiMkuu kuprinti manoti mengi zaidi kwenye mzunguko bila ya mpango sahihi utasababisha mfumuko wa bei!
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbusha ile situation ya Zimbabwe, walipoanza kubeba pesa kwenye sandarusi na salfet kwenda sokoni kununua mboga za majani. was so sadMkuu kuprinti manoti mengi zaidi kwenye mzunguko bila ya mpango sahihi utasababisha mfumuko wa bei!
Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa hazitengenezwi Tanzania, na pia kuzitengeneza ni gharama Pia.Pesa za TZ zinatengenezwa wapi? Na kama zinatengenezwa hapa Tanzania kwa nini tunaomba na kupokea mikopo kutoka taasisi kubwa za kifedha Duniani wakati tuna uwezo wa kutengeneza fedha nyingi zitakazoweza kututosheleza kama taifa?