Wachumi: nini? athari za B.O.T kutunza akiba ya nchi Kwa madini ya Tanzanite.

Kisonono

Member
Joined
Sep 23, 2016
Posts
29
Reaction score
21
“ Serikali inafikiria kuweka akiba yake Benki Kuu kwa kutumia madini ya Tanzanite.”

Hayo ni maneno ya Waziri mwenye dhamana ya fedha Dkt Philipo Isdor Mpango aliyoyatoa Novemba 2016, ikiwa ni kujiaanda kutekeleza agizo la Mhe. Mtukufu Raisi Dkt. John Pombe Magufuli alilolitoa wakati alipofanya ziara yakushtukiza wizara ya Fedha na Mipango..

Nimeona niwashirikishe wana jamvi najua kuna wachumi wazuri hapa watanisaidia kuelewa....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…