Asante sana nasoma kitabu cha Kiyosaki sasa kautumia sana huu msamiati kamusi ikashindwa kufua dafu...umenielewesha uzuri kabisaUnafanya biashara, kuongeza mtaji kupitia mkopo. kwa mfano highly leveraged co. ni kampuni ambayo inaendesha biashara kwa kutegemea mikopo zaidi kuliko Hisa za kawaia (ordinary share)
karibuAsante sana nasoma kitabu cha Kiyosaki sasa kautumia sana huu msamiati kamusi ikashindwa kufua dafu...umenielewesha uzuri kabisa