The Biggest IQ
Member
- Nov 24, 2010
- 54
- 3
ESRF ipo baada ya Victoria (kulia kama unaenda k'koo au posta),kuna njia ya vumbi ambapo kuna sehemu wanauza magari ya mtumba. Ukienda na icho kinjia,then kata kushoto,nenda mbele kidogo utapaona. Pia unaweza kwenda REPOA,napo wana vitabu na majarida ya tafiti za uchumi. Kwa ufasaha zaidi nenda idara ya uchumi (iliyokua Economic Research Bureau,sasa imo kwny idara iyo),UDSM,hapo utakua umefika nyumbani