Tarakilishi
JF-Expert Member
- May 19, 2013
- 2,181
- 2,448
Jamani mimi nipo ktk kuandaa Sisal Agribusiness Project.
Project duration ni twelve years. Nimesha identify cost zote na benefis. Pia nishaandaa Projected Cashflow statement ya mradi huo. Kasheshe imekuja wakati nataka kufanya Project Appraisal, nimekumbuka kuwa ktk kutafuta NPV, BCR na IRR ni lazima nizidiscount costs zote na benefits zote, sasa ninachoomba kusaidiwa ni kwa vipi nitapata Interest rate inayotumika kufanya discounting?
Please help. Kwa kesi ya IRR, Najua kuwa Interest rate inayopaswa kutumiwa ni ile ile unayochajiwa kwenye mkopo ulokopwa kwaajili ya kuanzisha biashara, vp kuhusu hyo interest rate inayotumika kufanya discounting. Pia anayeijua hiyo curent rate plz anitajie. Ahsanteni kwa support zenu wadau