Wachumi nisaidieni tafadhali

Mkuu karibu sana kwenye lecture hii ya uchumi, nathamini nafasi yako ktk kupitia post hii. Hzi ni lugha za kiuchumi zaidi

Mkuu wewe ni mtaalumu wa project planning na business proposal?
Kama ndie naomba unipm namba zako.
 
Mgoja niende MMU nikapige stori nitarudi baadayeπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Je soko la kuiuza hiyo sisal lipo wapi na je kwa tani moja naweza kuiuza shilling ngapi?
 
tumia traditional market interest rate for private project like of yours. use BOT interest rate figure (avrg interest rate).
 
Mkuu wewe ni mtaalumu wa project planning na business proposal?
Kama ndie naomba unipm namba zako.
Mkuu, nimechelewa sana kuiona hii post yako. Ndio naiona leo. Ndio mkuu mimi ni mtaalamu sana wa Project Planning na Business proporsal. Nilijikita sana kwenye agribusiness sector. Saiv nipo kwenye shughuli nyingine na ninaendelea na miradi yangu midogo midogo
 
Je soko la kuiuza hiyo sisal lipo wapi na je kwa tani moja naweza kuiuza shilling ngapi?
Soko la sisal lipo na ni la uhakika. Vipo viwanda na makampuni yananua sana sisal fibres. Kuna kiwanda kinaitwa TANCORD 1998 LTD kinamilikiwa na Katani ltd pale tanga kinanunua sana sisal fibres. Kuna kampuni za Moh bila shaka nao wananunua sisal fibres. Soko kubwa zaidi ambalo hata haya makampuni yanauza ni United Kingdom. UK ndio anasambaza maeneo mengine duniani. Price per ton inategemea na grade unayozalisha. Grade inayozalishwa zaidi Tanzania ni UG na SSUG. Price inaenda 2M per ton mkuu ila huwa ina fluctuate kutegemea na global production
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…