Wachumi, Suala la kupewa 'MB 8' mnalionaje?

stanb

Senior Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
153
Reaction score
19
Suala la kupewa MB 8 kwa kila kifurushi mnalionaje wana uchumi. Mi naona ni uonevu kwa mteja. Bora tuhamie airtel ucku bure.
 
Ndg zangu mbona Tungali tunawaza kama Enzi za Mwl. Wewe ni mteja na kila siku unaambiwa uuuu mfalme. Kwa nini unalalama badala ya kuchukua hatua.
 
Nimeamua kutoka moyoni nahamia airtel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…