Sanda Matuta
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 949
- 142
Dah, kaazi kwel kweli, kiswahili kimeniacha hoi, japo umeeleweka ila jitahidi kutukuza lugha yetu hii adhimu.
Kwa nini hatuweki fedha zetu katika bar za dhahabu katika benki yetu ya Tanzania (BOT).
Tanzania ina dhahabu ya kutosha ya kuweza kuweka uchumu wake katika gold bars benkini kwetu. Mara nyingi thamani ya dhahabu haishuki sana na kukiwa na vita inapanda.
..kwa sababu Tanzania haina dhahabu...dhahabu yote Tanzania inamilikiwa na jamaa zetu wa Kanada, Australia na Afrika Kusini!
Tell me you are just kidding...!!!!???
Haiwezekani dhahabu yote nchii hii iwe inamilikiwa na hao wazungu,si tunaambiwa makampuni yana milikiwa kwa ubia?
,sasa ile nusu yetu si tungeweka huko au hata hiyo nusu tuna wauzia wao?
Basi kama ni hivyo nchi hii,imeshauzwa siku nyingi na hata sisi wabongo labda ni wa-majatari wa marekani.