Metronidazole 400mg
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 941
- 2,062
Unaniuliza Mimi tena mkuu??Eti wewe dawa ya kuharisha, Mashehe/ustadh wanaangalia mashariki kufanya nini?
Mbwembwe tu za hapa na pale kuvutia makusanyo ya masurufu kutoka kwa kondoo wa bwana..
Duh hatariMbwembwe tu za hapa na pale kuvutia makusanyo ya masurufu kutoka kwa kondoo wa bwana..
Hao watu wana mengi nyuma ya paziaWakuu,
Saivi kumeibuka mtindo (fasheni ) wa Hawa watumishi/manabii nk. Kuenda milimani, nimeshindwa kuelewa Huwa wanaenda kufanya Nini huko??
Na kwa maelezo ( kupitia tv/radio mbalimbali za masuala ya Imani ) wanakaa huko kuanzia wiki Moja mpaka mwezi, Kuna Siri Gani huko milimani??, na ni milima IPi hiyo Haina jina??
Tahadhari, sipo hapa kukashifu Imani ya mtu ila ni hoja TU nimeweka mezani kwa lengo la kujuzwa na kupata maarifa.
Nawasilisha
😄😄😄Mbinu zakuvuta wateja wanaoangamia kwakukosa maarifa wasogee karibu na hudumaa ya mafutaa,chumvi,vitambaa na maji yanayoombewa mlimaniii 😀😀😀
Ila wajinga hawaishii jmn
Kama yapi mkuu, embu tufungue ufahamu kidogoHao watu wana mengi nyuma ya pazia
Wajinga hawaishi 😀
OkWajinga hawaishi 😀
Ngoja waje.Inasemekana uko ndipo wanapopata nguvu zao
Ni kama wewe ulivyo na namba nyingi za simu hadi laini za nje ya nchi kama ile inayoanzia na +251Hao watu wana mengi nyuma ya pazia
Hao watu wana mengi nyuma ya pazia
Aisee!Ni kama wewe ulivyo na namba nyingi za simu hadi laini za nje ya nchi kama ile inayoanzia na +251
Nitajie matukio Matatu ya Watu kusali milimani ukimwondoa Musa na YesuKivipi? Na kwa Biblia kusali Mlimani ilikuwa kawaida.
Sio hawa wa siku hiziKivipi? Na kwa Biblia kusali Mlimani ilikuwa kawaida.