Superbug
JF-Expert Member
- Jan 31, 2018
- 13,864
- 35,079
Ni Jambo la kuhuzunisha Sana kuona wachungaji na viongozi wa dini Mambo wanayoyatetea.
Kiongozi wa dini anaweza kuona maovu yanafanyika kwenye Jamii na asiseme kitu atakaa kimya hatakemea hususani Kama uovu umetendwa na wenye mamlaka atavaa miwani ya mbao.
Yuko radhi mwaka mzima ahubiri ubaya wa kutokutoa fungu la kumi lakini kamwe hatainyooshea vidole serikali onevu na kandamizi.
Nchi za afrika baadhi zimefanya chaguzi na nyingine zinatarajia kufanya.Kuna dhuluma na hujuma zinapangwa na kufanywa na wenye mamlaka hapa hutawasikia wachungaji na maaskofu fake wakitahadharisha watakaa kimya.
Wako radhi kununua vipindi kwaajili ya kuwapiga vijembe watu wanaoikosoa serikali utadhani wao ni wasemaji wa serikali lakini hawako tayari kukemea hujuma zinazofanywa dhidi ya wanyonge.
MKISHIBA SADAKA ZA KONDOO MNAJISAHAU ANYWAY NI UJINGA WA KONDOO LAKINI