Wachungaji wa Kilokole hamuoni hili?

sawa.

ila weka vizuri pale ulipozungumzia Mwana/mtoto wa Mungu.

kwamba mwana hakai nyumbani? nadhani ulimaanisha "mtumwa". sio?
 
hila kwenye michango usiseme yaan ni hatari na ndio maana watu wanaenda kwa wanabiii. huko ukitoa sadaka yako moja maisha yanaenda.Sasa makanisa yetu. sijui zaka, ahadi,shukran,fungu la kumi,bahasha ya chrismas,bahasha ya mwaka mpya,jengo, hapo michangia mingine kama haipo shukuru Mungu,mfano kwaya inasafiri,au mchungaji anasafiri,Yaan makorokoro kibao.Haya nenda kwa nabii sadaka moja.iwe milion,laki,elfu kumi au buku utajuana wewe na Mungu wako. bahati mbaya maskofu hawana semina za pamoja kulisema hili.watu wanakimbia makanisa
 
Wote nyinyi ni CHUKIZO.LA UHALIBIFU LILILO SIMAMA PATAKATIFU ....DINI YA KWELI SIYO KWENDA KANISANI WALA MSIKITINI
 
Deen pekee ya haq impsayo mwana Adam ni Islam
 
sawa.

ila weka vizuri pale ulipozungumzia Mwana/mtoto wa Mungu.

kwamba mwana hakai nyumbani? nadhani ulimaanisha "mtumwa". sio?
nilikuwa namaanisha, ukiokoka unakuwa umekabidhi maisha yako kwa Mungu, yeye ndiye kiongozi wako na treatment zake zitakuwa za yule aliyekabidhi maisha yake kwa Mungu. tofauti na yule ambaye hajakabidhi maisha yake kwa Mungu, labda maisha yake ni kwa waganga wa kienyeji, uchawi, uzinzi, kiburi, pesa za majini n.k hategemei Mungu, huyo hata kama Mungu anampenda kama mwanae lakini hawezi kumtreat kama mtoto wake kipenzi kwasababu yeye mwenyewe amemkataa Mungu. akiamua kuokoka na kukabidhi maisha yake kwa Mungu hapo Mungu anampokea, akiamua kuendelea kuishi maisha yake ya ajabu huko Mungu halazimishi, Mungu ameweka uhuru tuchague, ameweka njia ya uzima na njia ya mauti mbele yako. njia ya mauti ni njia ya dhambi kwasababu dhambi haijawahi kumwacha mtu salama, njia ya uzima ni pale unapomkiri Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako na kukabidhi maisha yako kwake, unakuwa mali ya Mungu, sio mali wala chombo cha shetani.

hii ndio maana, ukiona duniani kuna dini yeyote inayolazimisha watu waiamini, hiyo ni njia ya mashetani. dini inayosema asiye wa kwetu tumchinje, au yule aliye wa kwetu akituacha adhabu ni kuchinja, hiyo ni dini ya shetani, kwasababu Mungu ameweka uhuru, halazimishi, ni wewe uchague na chaguzi yako ndiyo itakayokufanya uhukumiweje siku ya mwisho. kwasababu kama Mungu wa kweli angekuwa analazimisha watu wamwamini, hukumu ya siku ya mwisho ingekuwepo kwa ajili ya nini sasa? hukumu ipo kwa watu kupimwa uhuru wao waliutumiaje hapa,kama walitumia uhuru kumkataa Mungu au kumfuata Mungu.
 
Wote nyinyi ni CHUKIZO.LA UHALIBIFU LILILO SIMAMA PATAKATIFU ....DINI YA KWELI SIYO KWENDA KANISANI WALA MSIKITINI
wewe naona upo planet nyingine, maadamu unaonekana umeshaipata injili, inatosha, uchaguzi wa maisha ni wako kwasababu hukumu utakuja kuhukumiwa mwenyewe kwa ajili ya uchaguzi ulioufanya hapa duniani. wala hustahili kujibiwa.
 
wewe naona upo planet nyingine, maadamu unaonekana umeshaipata injili, inatosha, uchaguzi wa maisha ni wako kwasababu hukumu utakuja kuhukumiwa mwenyewe kwa ajili ya uchaguzi ulioufanya hapa duniani. wala hustahili kujibiwa.
Nasikia mnayo injili mpya ya mungu mwenye nafsi 3 [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Deen pekee ya haq impsayo mwana Adam ni Islam
Wote ni sawa tu,nakushangaeni sana WAAFRIKA kujiita waislam na wakati huohuo mnajiita wana wa adam.

Ina maana nyote WAAFRIKA waislam na wakristu ni wa adam na ujinga wenu ni uleule.
 
Hama kanisa yapo bado yatunzao utukufu mengi tu na sio hayo ya masebene
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…