Jasusi Mbobezi
Senior Member
- May 17, 2020
- 195
- 851
Jamaa ni wakali sana, msikilize huyo wapili alivyo flow na biti. Anaweza fanya collabo na nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaaJamaa anachana kama Kalamashaka
Mungu hatetewi na bakora[emoji23]Takbiiir. Ingekua msikitini hao jamaa wangechezea bakora balaa
Saudia wanakuchinja live!Mungu hatetewi na bakora[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Saudia wanakuchinja live!
HahahaaaKuiga iga kubaya kulazimish kumtukuta mungu kupitia hip Hop. Kuna kanisa nasali kipengele cha nyimbo aise siyo. Sebene kweli church kweli
HahahahaaSubiri waje wahafidhina wa dini watakuambia wamepotoka watakuambia dini n static and not dynamic
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Wenyewe vijana wa kisasa hawatamki Hip Hop, wanatamka "hippoppo"Hawa ni wachungaji wa Kisabato wakichana jukwaani, huyu wapili ni mkali sana wa flow, sina hakika na usahihi wa hili jambo ila wameonesha uwezo mkubwa. View attachment 1906472
Ila naona kama ni michanganyo?Jamaa ni wakali sana, msikilize huyo wapili alivyo flow na biti. Anaweza fanya collabo na nani?
View attachment 1906404
Unatumia itel?Nasikia kelele tu