Wachungaji wa Kisabato Wachana mashairi ya Hip Hop kanisani

Hawa ni wachungaji wa Kisabato wakichana jukwaani, huyu wa pili ni mkali sana wa flow, sina hakika na usahihi wa hili jambo ila

Wameonesha uwezo mkubwa.

Your browser is not able to display this video.
 
Takbiiir. Ingekua msikitini hao jamaa wangechezea bakora balaa
 
Kuiga iga kubaya kulazimish kumtukuta Mungu kupitia hip Hop. Kuna kanisa nasali kipengele cha nyimbo aise siyo. Sebene kweli church kweli
 
Walikua wanazingua tu kuchana gani hakuna punch line na snare
 
Kazi ya mapokeo hiyo yaani sijui hata tunakoelekea kwa kweli ila ni hatari sana kwa kizazi kipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…