johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwa Kizazi hiki Cha Sasa cha Tanganyika siyo ajabu miaka 20 ijayo Nchi hii ikawa zaidi ya Congo Kwa UPIMBI
Vijana siyo Wachapakazi, siyo Wabunifu bali wanaoamini katika Uchawa, Muziki na Maagizo
1980s nakumbuka Mwalimu Nyerere aliwaambia Wacongoman pamoja na kutoa burudani Kwenye majukwaa ni lazima wawe na Mashamba ya kuzalisha Mali ndio Maquis Du Zaire wakapewa shamba pale Mbezi Msakuzi wakawa wanalima Machungwa
Vijana wa sasa haijalishi Bavicha au UVCCM wanapenda kitonga sana, subirini Wanaume watawakuteni hapo hapo Kwenye mteremko
Kagame na Wanyarwanda wako smart sana 🐼