Wadad wa JF na tabia zao....!!!

Digaller

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2009
Posts
798
Reaction score
541
Firstlady1:- anapenda sana siasa,ni mwepesi wa kuelewa na mgumu wa kusadiki. Rose1980:- anapenda sana mambo ya pwani,ni mcheshi na mkarimu sana. Pearl:- ni mtu wa watu,asiependa makuu na mwenye tabasamu yakinifu. Daughter:- ni mpole,asiyependa majibizano na asiyependa vijiwe vya kusutana. Chetuntu:- anapenda sana story,ni mwongeaji sana na ni mtu wa kujichanganya. Husninyo:- ni mwenye busara na mpenda watu sana. Miss Judith ni mtoa ushauri mzuri sana. Shosti:- ni mnoko sana,ukimpa ujumbe hafikish kw mlengwa
 

Umejuaje kama hao ni wadada? ID zao? Avatar zao au? Angalia utakuja tongoza midume humu...shauri yako!
 
Shost hakupeleka kilio kwa Lizzy...hahahaha
bado unaae tu kwa mlango wa nyuma mpaka kieleweke
 
khaaa,
ni kwa vigezo vipi ulivyotumia.
anyway labda kuna ukweli.
 
Mimi sio mdada jamani.
Natangaza rasmi kuwa nimeamua kubadilisha jinsia yangu.
 
 
ah ah ah thx sana!sijui umefikiria nn duh!wish to meet ladies woote wa hapa:smile-big::smile-big::smile-big:
 


Hapa iko namna lazima kuna mtu
anapigiwa speed
Utongozaji mwingine........Mh!!
 
PakaJimmy ana roho mbaya,mnoko,mshari,mchonganishi,mgomvi, hapendi maendeleo ya watu
 
PakaJimmy ana roho mbaya,mnoko,mshari,mchonganishi,mgomvi, hapendi maendeleo ya watu

Mbona kama wewe ndo mshari?Kwanza thread inahusu wadada PJ wapi na wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…