Wadada acheni ushamba kwenye Dating Apps

Niliingia tinder nikamtokea manzi mmoja akajinia juu eti yeye sio malaya bali anauza nguo. Nilikasirika nikamuuliza umeona hii ni Kikuu au Kupatana.com
Huwa inanikera Sana hii ishu

Mtu unamtokea tinder anadai yeye hayupo hapo kwa mahusiano [emoji1787][emoji1787]

Wadada wa bongo bwana viazi kweli kweli
 
Ngoja waje uwape miongozo... tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 

ki ukweli hili jambo hata mm huwa linaniumiza na kunishangaza sana! kuna wengine unamfata unamtongoza anaanza oooh sipo humu kutafuta mabwana [emoji35]
 
Hvi zile za kulipia sijui uwe Gold or Silver member zinakuaga na cha ziada kipi!??
 
Aisee hio mitandao ni nouma , nimekutana sna na wauza mbususu na mashoga huko
 
Kipindi cha nyuma natumia Tinder niliwahi kukutana na mdada flani humo na kati ya picha alizoweka ni CV yake na ameweka maelezo anatafuta kazi 😀
Nikaingia inbox nikamcheki japo tubadili channel nimpunguzie strees zake za ajira as long as ni dating site, kwa kweli alinigombeza sana utadhani mimi ndiyo nimemsababishia akose ajira.
 
ki ukweli hili jambo hata mm huwa linaniumiza na kunishangaza sana! kuna wengine unamfata unamtongoza anaanza oooh sipo humu kutafuta mabwana [emoji35]
Ukiona kakujibu hivyo huyo ni Muuzaji chipukizi
 
Nyie watu hamko siriaz mnaachaje kutafuta mtaani na mnawafuata wa tinda wamechachuka kiasi hicho?🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…