donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
- Thread starter
-
- #161
Mweh mweh mweh?? Utakua hujatutendea haki sisi raia tusio na hatia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na kimi nikipata ya kwangu nitatembea na kichupi tu. Si gari yangu[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Huu ndio ubaya wa balimi..nTulieni nyinyi mavazi yenyewe mmeletewa na mzungu afu mnakuja kupiga makelele humu si mfungue viwanda vyenu mtengeneze hayo mavazi nadhifu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana unafikiri hyo mi samaki yako sikuitamani Mkuu?
Hahah.mkuu last time I checked nliambiwa wewe ni vegetarianHapana unafikiri hyo mi samaki yako sikuitamani Mkuu?
Amna Mkuu samaki ni zaidi ya vyote
Usinikumbushe mkuu
Ndio mpaka nipate sasaMweh mweh mweh?? Utakua hujatutendea haki sisi raia tusio na hatia
Sent using Jamii Forums mobile app
anajuajeHa ha ha umenikumbusha kuna rafiki yangu yeye anaangalia dress code asubuhi anajua huyu anaenda kazini wapi...
huko wanakaa vikongwe tuMambo kama hayo ni ngumu sana kukutana nayo morogoro road.
Hongera sana
Hahah hebu angalia sasa your full name how it sounds silly, "MBITIYAZA NANYUPU'. Mama, wewe ni mtaalam wa tiba za jadi ama? Walau mtoto unaita (unafupisha) 'Ya Lucchese' kidogo it sounds sexy
Sent using Jamii Forums mobile app