kupenda si kuvuta atiiiMi napenda kuvuta sigara.
Kitu kinaweza kikawa kibaya kwako lakini ni starehe kwa mtu mwingine, kwako kuvuta sigara ni tatizo lakini kufanya ngono zembe isiwe tatizo kwako lkn kwa mtu mwingine ni tatizo hata kufanya tendo la ndoa nje ya ndoa.
Kuhusu SIGARA NJOO ULAYA UKAJIONEE MWENYEWE, KWANI ASILIMIA 90 YA WANAWAKE WANAVUTA SIGARA, sasa hawa nao wangekuwa wanachukiwa na watu wengi kiasi hicho sijui ingekuwaje.
Mie navuta Jani.. lol
Sasa wewe kwani wakivuta wanakupunguzia nini? Kwa hiyo wakaka wakivuta kwako ndio shwari?? Dah.......endelea kuwachukia ila kwa bahati nzuri hakuna limit ya jinsia kwa wavutaji bali kuna tahadhari kwa mtumiaji!!
kuna member wa hili jukwaa anaitwa Russian Roulette kaweka avator ya mdada kashika mpodo(sigara) sijui ni gamuma(bangi) nikiiangalia hiyo avator yake sipati jibu,sijui anapata au anatumia hii kkitu auni avator tu kaweka. mi binafsi nachukia sana hii tabia. Ila kwa mkoa wa Tabora kumkuta mwanamke anagonga fegi ni kitu cha kawaida sana tena sana kule kwa walima tumbaku . tena fegi inasokotwa kwenye kipande cha gazeti, kule kipande cha gazeti ni dili sana.Mara nyingi msema kweli ni mpenzi wa Mungu leo nimeona niseme hili ambalo kwangu huwa linanikera hata kama wewe sikujui sisemi nawaonea bali nimeona niliweke wazi kuwa TABIA YA WANAWAKE KUVUTA SIGARA MIMI HUWA NACHUKIA SANA.
Ukweli ni kwamba hiyo ni starehe Binafsi lakini mimi huwa sipendi kuona mdada anavuta sigara.Wengine Mtasema mbona wanaume wanavuta lakini sikutokea kuchukia hilo.
Nawakilisha kwa kusema hata kama unavuta sigara basi tafuta sehemu ujifiche ukimaliza kuvuta endelea na mambo mengine.Asanteni
kupenda si kuvuta atiii
kweli. nataka nionje ladha yake.
Asanteni kwa mchango wa mawazo.. mimi naichukia sana sigara kwa wote. katika vitu vinavyo kera kwa harufu mbaya mdomoni,, cha kwanza ni bangi na pili ni sigara,, nawapa pole sana wavutaji..[/QUOT
Si uvae tu maski mda utakaokuwa na mpenzi wako jamani