Wadada hata Mkinichukia Poa tu

Sigara huharibu afya!... zaidi ya hapo sioni tatizo lolote!, actually heri mdada avute bangi kuliko kuwa mlevi!! I hate that!!
 
Si tunavumilia tu!!
Yeah mkuu_ni uvumilivu tu....kuna mdada tuko naye jengo moja hapa ninapobrash na kushona viatu(ofcoz in imported kutoka cameroon)seem to be classic anavuta sigara kama hana akili nzuri,....
 
Sigara huharibu afya!... zaidi ya hapo sioni tatizo lolote!, actually heri mdada avute bangi kuliko kuwa mlevi!! I hate that!!
na wewe nawe una allegy na pombe_bila shaka utakuwa unatumia dope mkuu
 
Mwanamme mvuta jani au cigar ndo mwake! :]]
 
ahhh sigara taaaamu jaman...mfanoe sina....!!!!!

tena sigara kali...nyota babu ahh kwa raha zangu sihitaji uturi mie ...nikishalipuliza basi inakuwa two in one...starehe na umaridadi wa harufu...!!!!!
 
Afazali leo umesema. Ila kwa wanaume, anayevuta sigara, anayesuka nywele, anayevaa hereni hata kama sikio moja = NO. Nawachukia kabisa. Naelewa unavyojisikia kwa mwanamke mvuta sigara, 'coz najua ninavyowachukulia hao niliowaandika hapo juu.
 
kila lakheri wavutaji wote wake kwa waume,mie sipendi mnachokifanya hata km ni hobi,uzungu au ndio mnaenda na wakati na ndio maana napata kichefu chefu kila nikisikia harufu ya sigara!
 
Mbona wapo wadada wanavuta petrol, hawa wanasaidikaje?
 
Nimewahi sikia eti "sigara inasaidia inapunguza uzito" sijui kama ni kweli wadado watanisaidia hili.
 
Hallooo!sasa yup bora anayevuta hadharan ukamwona au anayevuta machokoani pasi kumuona afu ni mpenzio!haya bwana bora adui 100 unaowafaham kuliko 1 usomfaham!acha wavute kwani sufuria bovu lahitaj mpish kongwe
 
uvutaji wa sigara una faida gani kwenye mwili wa binadamu??
 
mmmh...sasa itakuwaje jamani....naombeni basi dawa ya kuacha......
ina maana wote mliochangia hapo juu mnanichukia eeh....
avator yako haifananii na wavuta sigara bhana
 
ahhh sigara taaaamu jaman...mfanoe sina....!!!!!

tena sigara kali...nyota babu ahh kwa raha zangu sihitaji uturi mie ...nikishalipuliza basi inakuwa two in one...starehe na umaridadi wa harufu...!!!!!

hahahahaha! Waambie hao. Vijiti vinaleta mizuka vile. Lol.
 
yaani mimi demu kama ni mvuta sigara hata akinipa bure simchapi kabisa!!!!! napataga kinyaa kabisa nikishamuona mtu anavuta sigara

itabidi tupende tu maana naona kuna changes sana kwenye socities zetu yale mambo ya zamani sijui mwanamke hafanyi hivi mwanaume hafanyi vile yanaenda kuisha tutakuja kuaccept tu although it ll take time! kila kitu kinabadilika mpk our climate sikuwahi fikiri ile snow ya Mt. kilimanjaro itapungua vile
 
Ha ha ha!Be carefull huyo dada sasa ni supermoderator!
I love RR,i trust her reasoning,and i think she will make an excellent super mod!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…