wadada hawa kweli wataoleka...?


Mwambie aendelee kuhudumia, kama ipo ipo tu... anaweza kupunguza huduma na yeye (mwanamke) akahisi amepata mwingine. Mawasiliano ni kitu cha muhimu
 
mwambie rafiki yako kuwa kugharimikia kifedha msichana si kujihakikishia mke.
anatakiwa investments ifanyike kisaikolojia zaidi.
Aweze kumteka mawazo msichana ili akiwa mbali amkumbuke.
Anyway, kuwepo na kina dada wengi, si lazima kuwa hata wanaume-suruale wana fursa ya kuchagua wasichana wenye mipango, labda huyo rafiki yako ana matatizo tunayowaambia kila siku wadogo zetu wayakimbie wakiyaona kwa kijana.
 
Mwambie aachane naye bwana, mawasiliano katika mapenzi muhimu bwana
 
halafu jamaa leo nampigia hata simu amezima!
Jana wakti naongea nae physical alionekana hana hata raha kwa issue hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…