Kasie
Sijajua maisha yako yanabase vipi kwenye hobby zaidi kuliko maturity? au mzee hii lugha ya Malikia umeidandia tu!
You're absolutely right KasieSijui kama nimeelewa swali lako. Labda nikufafanulie nilichokiandika kisha uulize tena.
Kuna waschana ambao anatuma mitandaoni kila anachofanya. ... KILA KITU anaweza asiweke picha ila akasema niko bafuni naoga. Huyu akiendelea hadi miaka 50 anaposti kila kitu hapo ndo mtoa mada anasema kuwa bado hajamachua hata kama ana miaka 60 yaani ni bibi kizee.
Ila akifanikiwa kuacha kuposti mitandaoni KILA ANACHOFANYA tuseme ambacho akiwa na miaka 34 basi hapo tunasema huyo mschana au mdada ameshamachua.
Mie nikaongezea maneno kuwa kitendo cha wanawake kuposti matukio mitandaoni ni zaidi ya kumachua. Yaani mwingine anapenda picha anapenda kuongea anapenda kuweka mambo yake mitandaoni nakadhalika huyu anafanya kwa kupenda kama hobby. Kuna ambao hawapendi picha wala kuweka mambo yao mitandaoni tangu wakiwa waschana..... sasa huyu hajaacha kwakuwa hakufanya kabla na hapo huwezi kusema amemachua. .....
Anyways it's just a point of view.
Najua Ww ni msichana wa zamani kidogo ila ulikuwa matured kabla hata hujatolewa bi...ra yako[emoji41]
Huenda mimi sijamachua bado[emoji23][emoji23]mana vdeo za kutembea zmejaa tele kule kwenye wasap status......lakin nafikr nafanya kama hobbyYou're absolutely right Kasie
Lakini watoto wa siku hizi wanapost hadi wakila ugali? Au wakitembea?
Mm Nafikiri huu ni ulimbukeni na ushamba kwa kiasi fulani!
Najua Ww ni msichana wa zamani kidogo ila ulikuwa matured kabla hata hujatolewa bi...ra yako[emoji41]
Hahaha that's hobby dear.Huenda mimi sijamachua bado[emoji23][emoji23]mana vdeo za kutembea zmejaa tele kule kwenye wasap status......lakin nafikr nafanya kama hobby
Hahaha me i dont care ili mradi kinanfurahsha nafsiHahaha that's hobby dear.
Ila % kubwa ya watu wakiangalia status ya msichana wakakuta ni ya kutembea huwa wanaishia kusonya!
naona unapiga kona mwenyew na unatak kufunga mwenyew mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Naomba na mm niwe nakuona ukitembea tafadhali
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]naona unapiga kona mwenyew na unatak kufunga mwenyew mkuu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
[emoji23] sijafanikiwa kukuelewaNaomba na mm niwe nakuona ukitembea tafadhali
[emoji23] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Hahaha naomba niwe nakuona kwny status ukiwa unatembeaa
Huenda mimi sijamachua bado[emoji23][emoji23]mana vdeo za kutembea zmejaa tele kule kwenye wasap status......lakin nafikr nafanya kama hobby
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mwanakanyenye utakuwa umenifananisha[emoji125] [emoji125]Nakuonaga saaana saaaana!Nimejua tu ni muunganiko wa Less Maturity+ Hobby+ kujishaua Nangai Mwana Kanyenye