Wadada hivi kwanini mnakosaga nauli mkiitwaga?

Babumawe

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
2,556
Reaction score
2,571
Eti kwa pamoja leo tudiscus hii kitu, hivi nyie wadada sijui tuwaite masistaduu au walimbwende nauli ya kutoka buza hadi buguruni rozana ni sh.400 tu ila sasa kila uchwao mkiitwaga maghetoni utasikia nitumie nauli.

Ebu mtuambie leo kwanini huwa mnakosaga nauli pindi mnapoitwa maghetoni, ni kweli mnakuwaga hamna nauli au, yaani mkianzaga kuitwa tu basi hivo vichenji navyo vinapotea au inakuwaje kwenye hilo, naomba mtujuze
 
...usisahau pia nikifika kwako lazima nile hata kama nimekuja kwako nina toothpick mdomoni....au nimekula nilikotoka.
Ni jukumu lako kunihudumia maana wewe ndio unashida.
 
Me ni rijali la kike mkuu....mie natongozwa na kuolewa.
Hata Id huoni...au kipofu wewe, unaandikiwa?
We endelea kupiga nyeto bhana
Nani aoe k inasugu hivo??
Labda dildo ndiyo akuoe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…