Hivi kwa mfano uko kwenye mahusiano na mtu na si mume wako unaanzaje kumuomba hela?
Hili somo sikulielewa kwa mnaojua nifumbueni jamani.
umenena shostKwani anakua na wewe ili aje kukununulia vitu ambavyo huna?
mmmmmmhhhhh yaani uko na bishanga kisha kidani akununulie rejao? Katika hilo unataka nikuelewe? Fenicha,nikute sofa mpya nisiulize? Kibaya zaidi we kama ni nyumba ndogo yangu si ina maana kuna anayeniasaidia nikiondoka kurudi ikulu,au?
Kwani Bishanga mafanikio ya huyo binti yanakuwa yako limited na wewe?? If ni nyumba ndogo yako na hutaki kusaidiwa nunua basi wewe? Alafu kumbuka kwa yeye kununua kitu si lazima iwe ni kwa msaada wa kidume mwenzio!!
BTW: Ukiwa na wivu sana na vitu vinunuliwavyo, nunua wewe ama sivyo usilalamike!!
ndo mana udhibiti wa nyumba ndogo ni mgumu sana hasa kama kadem kenyewe ni mcharuko,we acha tu,na kuacha hatuwezi.