Wadada,kama unataka mwenye mafanikio huyu!!

Mkuu nahisi wewe jina lake laweza kuwa Robert au Peter......................au nimekosea?
 

Yaani wewe unatuletea habari za karne ya kumi hizo,yaani unayohisi ww akilini kwako unayapa nguvu na unaamini,ama kweli huna tofauti na mganga wa kienyeji ambae siku zte huwa hana hakika na anachokisema
 
Hivi majina hutolewa kutokana na tabia za watu au watu hujenga tabia kutokana na majina waliyopewa?

Watu hujenga tabia kutokana na majina yao!
 
mie nawajua kina FRED,tabia zao ni hizi
1) ni waoga wa kutongoza
2)watundu
3) wanafanikiwa kirahisi yaan kimaisha
4) hawapend makuu Ila wanapenda sifa kama waha

Nyingine kesho
 
kaka inaonekana litakuwa jina lako hili so si mbaya kulifanyia promo kidogo!!! hata kina "mwakafyusa" nao watakuja na utafiti wao mbadala juu ya jina lao na watauita utafiti huo yakinifu...
Nataka kusema nini, inawezekana kuna ukweli mahali fulani ila mimi sijui hata... ila ninachojua sio william wote wapo kama ulivyo. Mfanao mzuri ninao ndugu wawili wenye majina ya william, mmoja ni uncle wangu yupo juu ya mawe vibaya na ni mzee wa totoz ile mbaya na amekimbiwa na mkewe sababu hiyo, mpaka sasa amezalisha wawake watatu tofauti.
William wa pili ni binamu yangu, yeye anapigika na kazi za ujenzi, anapiga mzigo mgumu kazini akirudi toka kazini masanga mpaka hakumbuki familia!! ndani hata stuli hana na ana godoro la sufi ka kitanda kikuukuu na meza ya mkopo toka kwa dada etu mmoja hivi... wakati mwingine yeye na familia yake hata uji wa asubuhi ni tatizo....
vipi kuhusu hawa kina william wawili? au wamekopa majina ( si yao)?
 
Songito,soma thread vizuri utagundua kuwa hata mimi sijasema kuwa wote wana tabia nilizosema hapo!Nakini huyo mmoja ni mzee wa totoz huoni kuwa amefit kwenye tabia mojawapo?
 
Na Robert mugabe (bob) wa zimbabwe anaangukia wapi?
 
Baba yangu ni Mzee Peter kazi za nje kazi attend na kujipatia watoto.nashawishika kusema utafiti ni wa kweli.
Si unaona mnapothubutu kutaja majina halisi yanayowahusu uwezekano wa kuanza kufahamiana Hapa huyu Mzee Peter Kazi, unaemsema, mimi namfahamu Mz Peter Kazi ambae amefariki hivi majuzi akiwa na umri sikosei kama miaka 105 au 108 akiishi Mwanza Mirongo.
Nyumba yake iko kwenye kona ya kwenda Seketoure Hospital. Aidha mtoto wa Mz Kazi alikua na mtoto akiitwa Stephen Kazi (ambae nae ni marehemu) Stephen aliwahi kua Mbunge wa Mwanza mjini. Hii ndiyo familia yako? Au mfanano wa majina ?
 
Robert Mugabe full kujikweza na Robert (Robbie Williams) wa uingereza anadaiwa kuwa ndiye mwanamuziki mwenye biggest ego in showbiz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…