Wadada; kuchezewa ndio nini??!

Siungi mkono hoja tena ikiwezekana nitashika shilingi hapa.
We si ulitaka kujua ukweli lakini???!

Hizo shilingi zatoka wapi tenaa, kama uliwahi kutana na hilo neno nikupe tu pole mkuu
 
We si ulitaka kujua ukweli lakini???!

Hizo shilingi zatoka wapi tenaa, kama uliwahi kutana na hilo neno nikupe tu pole mkuu
Ngoja kwanza, we hukuwahi kulalamikia hilo?
 
Got played!
Maana yake umechezea hisia zake,umeenda kinyume na matarajio yake.Na sio kila mahusiano mwanamke ataona kachezewa.Kwa maana kuna mahusiano sisi ndio tunawachezea ninyi pia ila huwa hamtumii hili neno.
Wanawake ndio wamekuwa wakilalamika sana hapa kwenye kipengele cha kuchezewa,na humaanisha kuwa wanachezewa KIMWILI
 
Wanaoafiki waseme NDIO
Wasioafiki waseme SIO
 
Mkuu kuchezea maana yake kuigusa kusa yaani ujaipiga vizuri ..na haya maneno yana wakuta saaana wenye VIBAMIA so jichunguze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…