Ni katika kutafuta urembo wa aina mpya tu, haina maana
Kuvaa pete kila siku kwenye kidole hicho hicho inachosha ati
we naye siku hizi kwa kubwatuka!
nisamehe, nakuahidi kujirekebisha.
kwani 'umebwatuka" wapi luv? mi sijapaona, u have spokeni ur mind which is ur right!
urembo tu huo jamani,hata mimi navaa hivyo lkn haimaanishi kitu.
ila mlivyo wabishi najua hamtakubali hadi mtunge maana,na lazima najua mtasema inalink na tigo!
Matangazo ya biashara Tigo inakua!Tigo inapanuka!!!!!asiyejua maana haambiwi maana.Panda farasi ufike mapema!!
hahaha thats my girl....mambo wewe? makange leo wapi?ni urembo tu
ni nimezpiga kote
uku nina pete ya rozari kidole cha kati mkono wa shoto nimepiga iyo kitu kwenye gumba na kidole kinachofatia.....ni kawaida nthng means.
msitafute maana pasipo na maana.
n
hahaha thats my girl....mambo wewe? makange leo wapi?
Asee!! worry not! am counting my days!ahhh mising 2ma dear!
leo nipo eda akuna makange wwala mishkaki roy wangu hayupo kaenda ukoooooooooooooooooooooo mbali kabisa so leo nipo nipo tu labda mpk ntangaze tenda ya kuja kunyakuliwa....ungekuwa mjin ningekupa tenda sa wewe upo mbali bwana itakuwaje sasa?
Biashara matangazo! Line ya tiGo inapatikana vumbua utamu!
yap, mie pia nimepiga vidole vyote vya mkona wa kushotoni urembo tu
ni nimezpiga kote
uku nina pete ya rozari kidole cha kati mkono wa shoto nimepiga iyo kitu kwenye gumba na kidole kinachofatia.....ni kawaida nthng means.
msitafute maana pasipo na maana.
n
Hivi karibumni katika pita pita zangu nimekutana na hichi kitu mara nyingi sana kwa wadada lakn nashindwa kuelewa kina maanisha nn.Hv wadada kuvaa pete kidole kinachofuata dole gumba maana yake nn?
Cha mkononi