Wadada kuweni makini na hawa!!

Wadada kuweni makini na hawa!!

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
28,259
Reaction score
20,891
Imefikia mahali tuanze kuzungumzia tabia za watu zinapotokea ili kama unaamua kufanya jambo au kuanzisha uhusiano ujue unachofanya.Maana malalamiko yamezidi kila siku huyu kamtenda huyu mara sijui nini!Kuna utafiti umefanyika maeneo tofauti duniani kuhusu watu wenye majina ya JOSEPH,watu hawa imethibitika kuwa na tabia kuu tatu,nazo ni;Kujipenda zaidi,dharau na zaidi hubadilisha wanawake kama nguo.Utafiti huo ulifanyika kwenye miji ya Soweto,J'burg,Dar es Salaam,Munich,Liverpool,New York na Alaska umeonesha kati ya kila watu kumi,watu nane mpaka tisa wamekuwa na tabia hizo.Sasa wadada mnatakiwa mjiulize mara mbili mtu mwenye jina hilo anapokuaproach,kama uko kwenye uhusiano na Joseph hebu kagua uhusiano wako.Kama huamini kagua akina Joseph unaowajua.Mimi nawafahamu wa5 wote wanafit hapo!
 
Vipi ulishakutana na "mziki" wa hawa watu?

Eiyer ! Unamuulizaje mtu swali la kiivo? Mpaka umemfanya Kongosho mate yamemjaa mdomoni ! Sijui mizikigugu Nimjuavyo alivyo fasta na makini angeshakujibu zamani, subiri akishatema atakujibu!
 
Mmmh..na akina Eiyer wakoje...?

Ungejua nilikolitoa hilo jina,nimelichakachua kidogo kulitofautisha kidogo kutokana na mwenye jina hilo!
 
Eiyer ! Unamuulizaje mtu swali la kiivo? Mpaka umemfanya Kongosho mate yamemjaa mdomoni ! Sijui mizikigugu Nimjuavyo alivyo fasta na makini angeshakujibu zamani, subiri akishatema atakujibu!

Ameshajibu amesema msemaji hayupo,naheshimu alichosema!
 
kwa sasa no koment
msemaji hayupo

WEWE ! Unakosaga majibu ! Leo kwa mara ya kwanza labda! Aaah nimekumbuka ndiyo! Yawezekana huko kwenye mudy! Mafurikooo!
Kuku, Mbuzi, wa Xmas ! Mto msimbazi umekula bila kuchinja!
 
Mmmh!km kuna ukweli flan kwa wa3 ninaowafaham mm mmojawapo ni shemeji yangu,ikitokea akasoma hapa lzm atakutafuta lol!
 
Imefikia mahali tuanze kuzungumzia tabia za watu zinapotokea ili kama unaamua kufanya jambo au kuanzisha uhusiano ujue unachofanya.Maana malalamiko yamezidi kila siku huyu kamtenda huyu mara sijui nini!Kuna utafiti umefanyika maeneo tofauti duniani kuhusu watu wenye majina ya JOSEPH,watu hawa imethibitika kuwa na tabia kuu tatu,nazo ni;Kujipenda zaidi,dharau na zaidi hubadilisha wanawake kama nguo.Utafiti huo ulifanyika kwenye miji ya Soweto,J'burg,Dar es Salaam,Munich,Liverpool,New York na Alaska umeonesha kati ya kila watu kumi,watu nane mpaka tisa wamekuwa na tabia hizo.Sasa wadada mnatakiwa mjiulize mara mbili mtu mwenye jina hilo anapokuaproach,kama uko kwenye uhusiano na Joseph hebu kagua uhusiano wako.Kama huamini kagua akina Joseph unaowajua.Mimi nawafahamu wa5 wote wanafit hapo!

Mimi katika watu wengi (kumi +) wenye jina la Joseph ni moja tu anayefit perfectly kwa hizo tabia wengine wooote wanatabia tofauti kabisa na hizo. Naona ilitokea by Coincidence utafiti umetoa majibu hayo
 
Ungejua nilikolitoa hilo jina,nimelichakachua kidogo kulitofautisha kidogo kutokana na mwenye jina hilo!

Hahahhaaa....ahsanteee! Ok,bila kutaja jina lako halisi,tutajie tabia za watu wenye jina kama lako.....
 
Mmmh!km kuna ukweli flan kwa wa3 ninaowafaham mm mmojawapo ni shemeji yangu,ikitokea akasoma hapa lzm atakutafuta lol!

Nimeamua niwasaidie dada zangu kwenye kadhia hii,pole sana kwa dada yako!
 
Hahahhaaa....ahsanteee! Ok,bila kutaja jina lako halisi,tutajie tabia za watu wenye jina kama lako.....

HEART bana!Nitakuambia wakati ukifika bana we tulia tu!
 
Imefikia mahali tuanze kuzungumzia tabia za watu zinapotokea ili kama unaamua kufanya jambo au kuanzisha uhusiano ujue unachofanya.Maana malalamiko yamezidi kila siku huyu kamtenda huyu mara sijui nini!Kuna utafiti umefanyika maeneo tofauti duniani kuhusu watu wenye majina ya JOSEPH,watu hawa imethibitika kuwa na tabia kuu tatu,nazo ni;Kujipenda zaidi,dharau na zaidi hubadilisha wanawake kama nguo.Utafiti huo ulifanyika kwenye miji ya Soweto,J'burg,Dar es Salaam,Munich,Liverpool,New York na Alaska.
JE ? Wenye majina ya YUSUFU ? Coz Joseph & Yusufu yana asili moja watamkaji ndiyo waliyatamka tofauti kwa maana ilele.
 
Jugment,Sina uhakika sana ila wapo Yusuph wa3 nawajua ni balaa kwa watoto wa kike,hawafit kwenye dharau!
 
Je? Wenye jina la YUSUF ? Coz Joseph na Yusuf yana uasilia mmoja.
 
Back
Top Bottom