Wadada kuweni makini na hawa!!

HEART bana!Nitakuambia wakati ukifika bana we tulia tu!

Nahisi jina lako halisi litakuwa Joseph...hapo juu umetaja tabia zako haswaaaaaaa...#Nimekushtukia :eyebrows:
 
Hapo kwenye bold umenigusa kabisaaaaaaaaaaaa cos nshakutana na mkaka mmoja anaitwa Jose alikuwa na tabia hizo hizoooooo
 
He he he he, am a good actor sometimes
Lakini haya majanga hayendi kwenye miti
yanaenda kwa watu

Eiyer ! Unamuulizaje mtu swali la kiivo? Mpaka umemfanya Kongosho mate yamemjaa mdomoni ! Sijui mizikigugu Nimjuavyo alivyo fasta na makini angeshakujibu zamani, subiri akishatema atakujibu!
 
kuna wengine walisema michael ni balaa kumbe kina joseph nao wapo!
 
Nahisi jina lako halisi litakuwa Joseph...hapo juu umetaja tabia zako haswaaaaaaa...#Nimekushtukia :eyebrows:

Aah wapi!Umekosea mno,hebu kuwa na subira siku nikija na jila lingine nitakuPM ujue hilo ndo langu!Unatamani kujuaee!
 
Hapo kwenye bold umenigusa kabisaaaaaaaaaaaa cos nshakutana na mkaka mmoja anaitwa Jose alikuwa na tabia hizo hizoooooo

Duuuh!Inaonekana hawa akina jose ni balaa!
 
Aah wapi!Umekosea mno,hebu kuwa na subira siku nikija na jila lingine nitakuPM ujue hilo ndo langu!Unatamani kujuaee!

Yamekuwa hayoooo...Najuta:A S embarassed:
 
Dahhhhh
tukianza hivi hakuna atakaye bakia.
Na uzuri wa jina hilo ( Joseph) ni upi?
maana naamini hakuna kibaya kisicho na kizuri
ndani yake...
 
Dahhhhh
tukianza hivi hakuna atakaye bakia.
Na uzuri wa jina hilo ( Joseph) ni upi?
maana naamini hakuna kibaya kisicho na kizuri
ndani yake...

Hawa wanaweza wakawa na uzuri maeneo mengine ya maisha lakini kwenye mahusiano ni "F"
 
Jina alihusiani, kwa hiyo unataka kuniambia ht mweshimiwa wa VINEGA anahusika?!!
 
haya weeee! sasa hao walokuanao inakuwaje? mnataka kuwatoa wenzenu matonge mdomoni,nadhani nitabia ya mtu tuu.
 
Anza na hapo kuwadadavua hawa(upate udokta na wewe)

1.Joseph Kabila
2.Joseph Haule(Professa Jay)
3.Joseph Mbilinyi(Sugu)
4.Joseph Shamba(pole kwa kuumwa mkuu)
 
Jina alihusiani, kwa hiyo unataka kuniambia ht mweshimiwa wa VINEGA anahusika?!!

Ndugu,majina yana nguvu kubwa linapokuja suala la tabia ya mtu,kama hujui jiulize yalipotoka majina!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…