Hakuna coincidence wala uchunguzi hapa. Reading between the lines, muanzisha mada anashindania mwanamke na Somebody Joseph sasa anataka kutumia jukwaa hili kumbadili akili huyo msichana kuhusu Joseph (mpinzani wa mwanzisha mada) ili apate ushindi wa mezani. WanaJF mkiyazingatia haya mtakubaliana na mimi:
1. Why Joseph? (huu uchunguzi umefanywa na nani na kwa nini unamhusu Joseph tu)
2. Mbona ni tabia 3 tu na zote negative, ina maana hawa kina Joseph hawana mahusiano mazuri na watu wengine?
3. Mtu mwenye dharau hawezi kubadilisha wanawake kila leo. Hakuna womanizer mwenye dharau (dharau ndio kitu mwanamke anakibaini kwa mwanaume haraka zaidi ya mapenzi yenyewe)
4. Hakuna unniversal characteristic ya kugroup jina moja. NIngeelewa kama ningeambiwa 'wenye majina ya Joseph, Jamal, Justina nk wana tabia a,b,c)
Mimi nachomshauri muanzisha mada, utongozaji wa namna hii umepitwa na wakati. Kama wewe na Bw. Joseph mnagombea demu hii siyo strategy. Demu mnayemgombea akibaini hila zako atakuwa more impressed kwa Joseph ambaye yeye atamchukulia kuwa nafuu zaidi yako na ukumbuke wanawake hawapendi wanaume wasiojiamini.