OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Weekend moja nikamtoa out Mwanne. Kule akala bata sana mithili mtu anayenikomoa. Usiku huo nikampiga mistari tuondoke wote atarudi kwake asubuhi.
Akanicheka san. Pamoja na kula vitu vyangu pale batani bado akaniuliza nina bei gani! Nikamuuliza unaniuzia? Akaniambia hakuna cha bure siku hizi. Basi tukakubaliana bei na kazi ikafanyika. Siku nyingine nikamuomba tena,akanimbia tuma kabisa hela kwenye Mpesa. Nikaghafirika,sikumjibu.
Sasa jana kasimamishwa kazi ya uwakala amenipigia nimsadie hela ya kula hana. Bila huruma nikamkumbusha alivyonitoza ada ya penzi. Akaniomba nimsamee ni shida tu zilimfanya anitoze. Nimeendelea kushikilia msimamo wangu.
Nachotaka kusema ni kwamba wadada wamekuwa wabinafsi sana. Kukupa kitu chake lazima kuwa na muamala na wanaamini wao wana haki ya kusaidiwa wakati wowote. Sasa kama unaendekeza miamala acha shobo unapopata shida ndogondogo.
Ni hayo tu kwa wakati huu.