Wadada kwenye daladala

Binadamu Mtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2021
Posts
4,226
Reaction score
8,879
Jamani kelele za hawa wadada et tunabambiwa ila sometime wanayatakaga wenyewe

Nimekaa zangu kwenye siti mtu anakuletea kalio mpaka puani hata hajistukiii mbaya zaidi limewamba

Sikutakiana lawama huku ikabidi nizuge nimelala maana sipendagi ujinga kibisa
 
Jamani kelele za hawa wadada et tunabambiwa ila sometime wanayatakaga wenyewe

Nimekaa zangu kwenye situ mtu anakuletea kalio mpk puani hata hajistukiii mbaya zaidi limewamba

Sikutakiana lawama huku ikabidi nizuge nimelala maana sipendagi ujinga kbs
Ukalalia kimasihara🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…