Wadada kwenye daladala

Mimi imenitokea jumanne iliyopita. Nimeingia nikaenda simama nyuma kabisa. Akaja mdada ana shepu kavaa dela, kwa makusudi akajisogeza hadi akajipachika mbele yangu.

Wanawake Wanamakusudi
 
Mimi imenitokea jumanne iliyopita. Nimeingia nikaenda simama nyuma kabisa. Akaja mdada ana shepu kavaa dela, kwa makusudi akajisogeza hadi akajipachika mbele yangu.

Wanawake Wanamakusudi
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Iliwahi pia kunitokea kadada kalikuwa na kaumbo kadogo sasa tulipanda fuso zile za kariakoo tegeta limejaa mpk mbele asije kujipachika kwa mbele mbaya kavaa abaya basi kijungu hiki hapa ndio siku ya majaribu makuu
 
Aah hapana sidhani kama ni mimi au hata mwenzangu, hizi ID hazinaga kuchambana na mtuπŸ˜€ sisi ni wastaarabu
Kuchambana kwio.....πŸŒπŸŒπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
Watoto wa uswailini hupenda kusema...hili neno kwio....sijuagi wanamaanisha nini..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…