Wadada leo niambieni ukweli mnataka nini..?

Dah Ume nichekesha kishenzi 🀣 🀣
 
Basi tu mi hizo kazi hapana kwakweli...πŸ˜…
Hii dunia unatakiwa ufanye maamuzi magumu bwashee , ukichelewa utabaki unapiga miayo ya njaa huku ukisema tu no reform no election bila kujua wewe ni mpambanaji wa haki au ni njaa tuπŸ€”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…