Wadada leo niambieni ukweli mnataka nini..?

Umeongea kwa uchungu sana da mau, popote alipo shemeji aliyekutendea haya lolote baya limkute..!! 😥😹😹
 
Maana nimeshindwa kuwaelewa huu moyo wangu mnachoufanya mnajua nyinyi tu!, na sasahivi kilichobaki mnataka tu muuchomoe huu moyo muupike supu mle na chapati!..

Niambieni mnataka nini..??
NRNE
 
Maana nimeshindwa kuwaelewa huu moyo wangu mnachoufanya mnajua nyinyi tu!, na sasahivi kilichobaki mnataka tu muuchomoe huu moyo muupike supu mle na chapati!..

Niambieni mnataka nini..??
Unauwezo wa wakuwapa wakikuambia wanachotaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…