tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,129
Kila story
ukisimulia eti "ilimkuta
rafiki yangu", ukitoa mfano
"rafiki yangu", ukiomba
ushauri, unajifanya
unamuombea shost ako,,
ebu kuwen smart na
mjiamini, hivi hakuna
yanayowakuta wenyewe?
Kila m2 "kuna rafiki yangu
alifanya hivi na vile" wewe
je?
Kweli mkuu wana-bore sana
Mnawajua?? Au mna uhakika gani yamewatokea wao??? Talk by facts and not by statements of mere opinions!!
Mi kuna jambo sijalipenda hapa.Kwanza mtu kutumia nafsi ya tatu kuna ubaya gani?Pili kwani wewe inakuhusu nini?Iwe yeye,mjomba'e,mdogo wake au sijui nani inakuhusu?Toa ushauri kisha uchape lapa au funga mdomo!
Watu wengine bila kuwananga wanawake nadhani hua mnakosa raha sana. Wanaume wangapi wanakuja na mada za "mshkaji/rafiki yangu kapanda au kashuka" ??? Wao wanajiamini?
ndo proffessionalism ya Watanzaniakwanini udanganye lakini?
kinachokushangaza kitu gani? Ndivyo unavyoupima ugumu wa maisha hivyo? Pole sanaNashanga!! Kuna watu ni viazi kweli, sijui ndo ugumu wa maisha huo??