Wadada mmezidi hadi mnakera!

una busara mkuu hadi raha. You said it all
 
afu nyuma wote siku hizi wana vifungashio vya haja,sijui wamekula nini,kwa kweli mjini raha!
 
Acha tamaa
Nimesifu uumbaji tu sijatamani,hata wanawake wazamni wanawaonea watoto wanaozaliwa miaka hii!pia ukienda matembezi unakuta wababa na mademu unashangaa ni mabinti zao au wajukuu zao,kumbe ni mademu zao,watoto ni wazuri sana me siwataki tena maana kwa nliyofanya hakuna jipya ntapata!ila nasifu uumbaji!
 
ifunge p.o.p
Miss chagga,sina haja ya P.O.P ila ukiuliza wanaume humu na wakakujibu ukweli kila mtu ana miliki zaidi ya wawili,kama una bisha anzisha uzi,wengine watadanganya wana mmoja ili uwaone wastaarabu wakikufuata pm ujikanyage!
 
Miss chagga,sina haja ya P.O.P ila ukiuliza wanaume humu na wakakujibu ukweli kila mtu ana miliki zaidi ya wawili,kama una bisha anzisha uzi,wengine watadanganya wana mmoja ili uwaone wastaarabu wakikufuata pm ujikanyage!
hahaaha sawa kuu
 
Usishindane na mashimo yasiyojaa
Sijasema nataka kuwamiliki mkuu ila unatakiwa ukiona kitu kizuri useme "Mashaallah!".me namiliki mmoja tu na nipo kijijini likuyu namtumbo!"wanasema if u want to overcome temptations keep away from them"!Nimehamia kijijini sitaki kuona vitu vizuri tena bora huku unakutana na demu ana fanana na Avatar yangu!
 
Nilidhani ni kwangu tu kumbe tuko wengi
 
Sio kwa kusifia huko jamani
 
Inaonekana umetoka lupango muda sio mrefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…