cheetah255 JF-Expert Member Joined Oct 19, 2017 Posts 1,376 Reaction score 2,393 Oct 21, 2017 #1 Eti unakuta mdada kaenda kwa mganga wa kienyeji kushtaki hapewi matumizi wakati hadi ela aliyo itumia kwa nauli amepewa na mumewake.
Eti unakuta mdada kaenda kwa mganga wa kienyeji kushtaki hapewi matumizi wakati hadi ela aliyo itumia kwa nauli amepewa na mumewake.
Nokia83 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 24,643 Reaction score 44,320 Oct 21, 2017 #2 Ww ni mganga?
Tamati JF-Expert Member Joined May 15, 2017 Posts 1,085 Reaction score 1,960 Oct 21, 2017 #3 Aliposhtaki ikawaje
Norshad JF-Expert Member Joined Jun 3, 2013 Posts 5,211 Reaction score 12,538 Oct 21, 2017 #4 Ataendelea huyo mdada akisharudi kutoka kwa mganga
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 49,759 Reaction score 118,798 Oct 21, 2017 #5 Mmh. [emoji124] [emoji124]
Valentina JF-Expert Member Joined Oct 12, 2013 Posts 24,684 Reaction score 28,777 Oct 21, 2017 #6 Ha haha, hua wanakuadisia eh
cheetah255 JF-Expert Member Joined Oct 19, 2017 Posts 1,376 Reaction score 2,393 Oct 21, 2017 Thread starter #7 Nokia83 said: Ww ni mganga? Click to expand... Hapana mkuu nimekutana na visa kama hivyo nikiwa kwenye kada ya usuluhishi.
Nokia83 said: Ww ni mganga? Click to expand... Hapana mkuu nimekutana na visa kama hivyo nikiwa kwenye kada ya usuluhishi.
cheetah255 JF-Expert Member Joined Oct 19, 2017 Posts 1,376 Reaction score 2,393 Oct 21, 2017 Thread starter #8 Valentina said: Ha haha, hua wanakuadisia eh Click to expand... Mambo yakiwabadilikia ndio wanaropoka wenyewe.
Valentina said: Ha haha, hua wanakuadisia eh Click to expand... Mambo yakiwabadilikia ndio wanaropoka wenyewe.
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Oct 21, 2017 #9 Daaah aseeh
Tabash yamashta JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 271 Reaction score 210 Oct 22, 2017 #10 Mmh
kimange JF-Expert Member Joined Sep 14, 2016 Posts 1,339 Reaction score 1,298 Oct 22, 2017 #11 Aiseeeeeee