shahazady mustafa
Senior Member
- Oct 1, 2018
- 110
- 56
- Thread starter
-
- #41
Nimeshindwa kumuelewa kabisa huyo jamaa kwakuwa anapinga hoja yoote,, nina wasi wasi na uhalisia wake.Utaoa dadako au ukitaka kuoa hutongozi
Unapotosha umma kwa kujibu tofauti na maana ya uziNi maajabu kabisa....huna kipato chochote unatokana wapi na wanawake?
Huna kipato utaolea wapi hivi kweli?
Unatongoza mwanamke unategemea kwamba mpaka kafika hapo kaja na hewa?
Ambae hajatumia hela labda ukamuokote jalalani
I really do not get the point at all...
I do not believe kabisa on this earth mwanaume unatomba bure kabisa hata ile gentleman's decency tu ya nauli ya kurudi kwake usilipie..Utakua jitu moja la ajabu sana linaloweza ua nchi nzima!
Jeees!
Uko kwenye mstari .Hujaelewa concept nzima ya mada mkuu hukuna mwanamke wa bure dunia hii hilo najua hata mm binafsi nikiwa natoa hela kwa ajili ya mwanamke najiona kukamilika sana lakin sio kwa povu hilo la mwanamke kwenye mada yaani kumwambia kwasasa haiwezekani ndo aanze kulalamika kuwa umekataa hiv itamuelewa vip? Ni kweli kwenye maisha kila siku utakuwa na hela au utaweza kutimiza vyote anavyohitaji? Kwa wakati anaoutaka yy? Yaani hata saa nane usiku akisema nataka kitu fulani humwambii asubiri maana ukisema hivyo ni povu tu.raha ya mwanamke awe anajua kuna wakati hauna, na kuna vitu huwezi kufanya maana mwanaume sio Mungu ni binadamu kama yy tu
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Tena maarufu mjini
Haya baba, ni umaskini wangu.Hahahaha yaani kukudanga bigbom ndo unatangaza? Kweli Umaskini ni kilema kikubwa sana, usitake cha uvunguni kama huwezi kuinama
Aisifue mvua, jua imemnyeshea.KAKA
Ni simple tu,hatuwezi kua tunatoleana mapovu huko duniani halafu tunakuja ku-upload kila kitu hapa hapa...Tutaishije sasa?
Cha ajabu ni kutolewa povu au cha ajabu ni kwa mwanamke kua upfront with you about kitu cha kugharamia?
Tangu lini kua upfront and honest about something obvious ni ajabu?
Halafu hakuna povu hapo..ni dada kua honest and upfront bila kupindishapindisha!
Wa ajabu sio huyo dada,wa ajabu ni huyo kaka sasa!
Kwanini wa ajabu awe huyo dada?..Unatumia mizani gani mwenzentu?
Hii dunia bana....
Hahaa.. AhsanteUliyataka mbona wadangaji unaona kwa sura tu
Nilizaliwa moshimkuu we bahili kinoma siwezi kumbania mtu hela namna hiyo