Wadada mnao sukana karibu na choo munakera badilikeni

babadullah

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2017
Posts
508
Reaction score
319
Nyumba za kupanga zina kera sana yan ninasumbuliwa na tumbo APA halafu ninaendesha
Nikatoka ndani niende toilet nakuta wadada wamejazana karibu na choo nimeingia tu ivo ivo mana nimebanwa ntafanyaje
Yan sauti ninazotoa huku sijui nitawaangaliaje nilitoka
Wadada badilikeni huu ni ukatili wa kijinsia musikae karibu na choo
 
haaaa...na ile saut kama sabufa la mchina, inabidi ujikaze kuzibana
 
Nyumba za kupanga zina kera sana yan ninasumbuliwa na tumbo APA halafu ninaendesha
Nikatoka ndani niende toilet nakuta wadada wamejazana karibu na choo nimeingia tu ivo ivo mana nimebanwa ntafanyaje
Yan sauti ninazotoa huku sijui nitawaangaliaje nilitoka
Wadada badilikeni huu ni ukatili wa kijinsia musikae karibu na choo
Haha hahahha
Kwa hiyo mkuu hapo unaandika ukiwa choon.
 
Nyumba za kupanga zina kera sana yan ninasumbuliwa na tumbo APA halafu ninaendesha
Nikatoka ndani niende toilet nakuta wadada wamejazana karibu na choo nimeingia tu ivo ivo mana nimebanwa ntafanyaje
Yan sauti ninazotoa huku sijui nitawaangaliaje nilitoka
Wadada badilikeni huu ni ukatili wa kijinsia musikae karibu na choo
Huu uzi umeuwandika n kuupost ukiwa toilet unaendesha au
 
Nyumba za kupanga zina kera sana yan ninasumbuliwa na tumbo APA halafu ninaendesha
Nikatoka ndani niende toilet nakuta wadada wamejazana karibu na choo nimeingia tu ivo ivo mana nimebanwa ntafanyaje
Yan sauti ninazotoa huku sijui nitawaangaliaje nilitoka
Wadada badilikeni huu ni ukatili wa kijinsia musikae karibu na choo
Mkuu usikute uliowalenga hawatumii jamii forum ungewachana tu palepale tena wadada lilikiwa suala dogo sana wakati Mimi wamama wazima niliwachana sababu ya kukaa karibu na choo na kupiga soga
 
M nilikuwa naenda na karedio choon bas kwa raha zangu naachia vitu balaa na nikitoka hapo simwangalii mtu uson
 
Hiyo tabia kiukweli inakera sana.na kwakukuhakikishia nikua hiyo tabia haitokoma uswahilini.
 
cku nyngine chukua maji yako nusu ndoo na ksha unayachota kwa kutumia kopo na then kuyarudisha tena wakat yakpga kelele naww huko ndo unajamba na kuharisha harakharak mpaka beat ziishe
 
Aiseee! Kuwaambia laivi huwa inahitaji ujasiri. Kama una nyimbo za taarabu ndani kwako kafungulie kwa sauti ya juu kabisa watajishtukia tu.
 
Back
Top Bottom