Wadada mnaotamba na amapiano tunawakumbusha mtapita tu shangazi zenu walikuwa busy na viduku

Kila Kitabu na zama zake Mkuu

Hata sisi Babu zenu, miaka ile ya 47 tulikuwa Vijana machachali sana 🤗

Sasa tumebaki kucheza na Wajukuu tu huku Vijijini, ukijitahidi sana unaenda kucheza bao na kunywa Kahawa na Wazee wenzio nyakati za Jioni 🙌
 
Uliwashenyenta sana kipindi hiko au nasema uwongo
 
Miaka ile hakukuwa na risk ya maradhi yasiyotibika kama miaka yenu hii

Kwahiyo ukiuza ng'ombe zako wawili watatu unaenda kula maisha kidogo na akina Bibi

Na mnajua vile Bibi zenu walivyokuwa mafundi tofauti na hawa wenu

Mambo yalikuwa matamu hasa 🤗
 
Shida wewe ni mtu mzima alafu unataka uende kwa gen z, kiutu uzima.
Sababu wewe ndio umewafuata, shuka uende level zao acha makasiriko mkuu, yeye hawezi kusikiliza nyimbo za Mike T wala Abby skills.
Ukiona huwawezi fuata mishangazi ya size yako
Wewe ni dhaifu sana
 
Miaka ile hakukuwa na risk ya maradhi yasiyotibika kama miaka yenu hii

Kwahiyo ukiuza ng'ombe zako wawili watatu unaenda kula maisha kidogo na akina Bibi

Na mnajua vile Bibi zenu walivyokuwa mafundi tofauti na hawa wenu

Mambo yalikuwa matamu hasa 🤗
Sahz dunia inanuka gono na magonjwa mengi ya hovyo hovyo
 
Back
Top Bottom