Wadada mnapenda kununua nini ambacho mkiwa nacho mnajisikia furaha?

Airmanula

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
3,527
Reaction score
5,762
Wadada mnapenda kununua nini ambacho hamtaki kiwe mbali na nyie? Yani kitu/vitu gani hua mnapenda kua navyo kiwe cha kuvaa ama kutembea nacho mahala popote hata ukiwa safarini.

Kitu/vitu gani hua vinawapendezesha macho au mkiwa navyo una feel uko updated
 
Hapa utasumbua kichwa bure, hawa viumbe hua wanapenda vile vitu ambavyo hawana asee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…