Au cyo[emoji6] [emoji6]*Nimeangalia tamthilia ya Kikorea inayohusu mapenzi kwa miezi 3 hakuna hata kipande kimoja demu alichoomba hela, cha kushangaza hizi tamthilia dada zetu wanazipenda sana, wanajifunza maudhui yake kweli?*
Mkinuna poa tu ndo nishasema.