Wadada mnapenda tutokeje...

1)Casual simple (Mshikaji katupia Jinzi na shati mkono mrefu na snickers au viatu casual)
 
huko nilikobold....ukitokea tu....nakwambia nimepata simu ya msiba ghafla.....huyoooooo....nanyuka mbio.....
 
1. Jeans na shati mikono mirefu.... NO
2 simple...YES
3.suti kwani unaenda kwenye sherehe/kazini?.....NO
4.kaptula na sandals..... YES ila kama unakuja na usafiri wako.
5.african attire kwani umekuja kwenye maonesho.....NO.
6 official kidogo ndio mwake sana....YES.
7. Nitolee uzee wako huko.....NO.
8. Hapo ndio hata dakika mbili haziishi nitaaga....NO.
 
huko nilikobold....ukitokea tu....nakwambia nimepata simu ya msiba ghafla.....huyoooooo....nanyuka mbio.....

ahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa_sasa wengine ndio swaga zetu hizo,..kutoka kipapaa...suruali tumboni na viatu mchongoko ndio mzuka bhana....hope Preta you will draw you comment back...mmmmh!
 
Inategemea yeye yukoje na date iko sehemu gani....ukija na suti beach si tu nitakushangaa bali utaniudhi.....!

Preference ni 1 & 2....!
 
ahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaa_sasa wengine ndio swaga zetu hizo,..kutoka kipapaa...suruali tumboni na viatu mchongoko ndio mzuka bhana....hope Preta you will draw you comment back...mmmmh!

ukija hivyo najidai sikujui....
 
Je kama nimevaa kanzu ya darzi na kofia ya mkono huku nanukia PacoRabane, Aramis au Kouros inafaa?
 
Husninyo,

Wewe hujui Jeans na shati mkono mrefu especially ikiwa black hivi ndio style iko juu kwa sasa???

Dah thats my favourite kumbe ungenitoa balu we ni soo.
 
Mmh. inamaana hiyo no.7 unaifagi
 
ajue nini avae wakati gani, sio weekend unakuja kama unaenda kwenye interview, ndio muhimul ki perfume umesahau, asinijie na kikwapa mie, my first turn-off ndio hiyo. kiharufu cha ajabu ajabu kisichojulikana kinatoka wapi, sitaki kusikia:A S embarassed:
 
namba 1 mahali pake, perfect
namba 2, still I can accomodate that.

Namba 3, inaleta aibu, unaonekana umepania mno.

Hiyo kinigeria, nikikuona tu natimua mbio.
 
Mwali, ulishatoka kidate mtu akaja kavaa jumba???

Bonge la suti, nyeusi utadhani anaenda apishwa ikulu?
Afu weye umepiga simpo sana, inaleta aibu bana.

Iliwahi tokea, dah niliona kama choo cha kiume hivi, nimeingia.

Kaa as natural as possible. Kama kawaida yako unavaa suti mara 5 kwa wiki usilazimishe short and sandals.
Nataka nikuone kama ulivo, hakikisha upo comfortable.
 
Mwali, ulishatoka kidate mtu akaja kavaa jumba???

Bonge la suti, nyeusi utadhani anaenda apishwa ikulu?
Afu weye umepiga simpo sana, inaleta aibu bana.

Iliwahi tokea, dah niliona kama choo cha kiume hivi, nimeingia.

Sisi wengine wa mapensi tu na tishet na sandals mbona tuna kazi, but mbona daily watoto hawaruki, karibuni savanah quality centre wekend tuchek football na vipensi vyetu wadau, ngoja niombe date na smile nivae kipensi changu na ndala kama kawaida
 
Kila mtu na test yake
sipendi nitoke na mtu kavaa pensi, siwi konfotable.

Akivaa 1 or 2, i love it.

Sisi wengine wa mapensi tu na tishet na sandals mbona tuna kazi, but mbona daily watoto hawaruki, karibuni savanah quality centre wekend tuchek football na vipensi vyetu wadau, ngoja niombe date na smile nivae kipensi changu na ndala kama kawaida
 
wadada tupeni maujanja basi.

mkuu usiyumbe wala nini,
Dr Hitch ameprove kuwa hamna principles katika haya mambo!
Be yourself!
Hata ukiwa "geek", kuna mtoto mmoja maridadi atakupenda kama ulivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…